Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
Kutoka kwa Nawwasi bin Samaan Al-Answari radhi za Allah ziwe juu yake amesema:
Available in 62 languages
«Kutoka kwa Nawwasi bin Samaan Al-Answari radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu wema na dhambi, akasema: "Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile litakalokukereketa katika kifua chako, na ukachukia watu wasilione".»Meaning translation ·
Saved at original quality








