Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Qur'an tukufu na Elimu zake

Kutoka kwa Aisha -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema:

Available in 65 languages
«Kutoka kwa Aisha -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akimtaja Allah katika nyakati zake zote.»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Anaeleza Aisha mama wa waumini -Radhi za Allah ziwe juu yake- kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa na pupa kubwa ya kumtaja Allah Mtukufu, nakuwa yeye alikuwa akimtaja Allah Mtukufu katika nyakati zote mahala popote na katika hali zote.

Source
Imepokelewa Imamu Muslim
Download image

Saved at original quality