Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Fiq'hi na misingi yake.

Imenukuliwa kutoka kwa Aisha mama wa waumini radhi za Allah ziwe juu yake:

Available in 50 languages
«Imenukuliwa kutoka kwa Aisha mama wa waumini radhi za Allah ziwe juu yake: Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake alikuwa haziachi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa mbili kabla ya Alfajiri.»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Ameeleza Aisha radhi za Allah ziwe juu yake yakuwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake alikuwa akidumu na swala za sunna ndani ya nyumba yake na wala haziachi: Rakaa nne kwa salamu mbili kabla ya swala ya Adhuhuri, na rakaa mbili kabla ya swala ya Alfajiri.

Source
Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Download image

Saved at original quality