Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
Available in 20 languages
«Kutoka kwa Imrani bin Huswain -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Amesema: Amesema Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake-: "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri". na katika riwaya nyingine: "Haya ni kheri yote" Au alisema: "Haya yote ni kheri".»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Haya(Aibu) ni sifa iliyoko katika nafsi inayomsukuma mtu kufanya mazuri au yanayopendeza, na kuacha yanayochafua na kuharibu, na ndio maana haiji isipokuwa kwa kheri, na sababu ya kuja kwa hadithi hii nikuwa mtu mmoja alikuwa akimnasihi ndugu yake kuhusu haya, na akimkataza kuhusu haya, Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akasema kumwambia maneno haya.

Source
Imepokelewa na Imamu Muslim - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim
Download image

Saved at original quality