Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Akida- Itikadi-
Available in 19 languages
«Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Hakika peponi kuna daraja mia moja kaziandaa Mwenyezi Mungu kwaajili ya wenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu kati ya daraja mbili ni kama masafa ya baina ya mbingu na ardhi".»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Anaeleza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika hadithi hii kuhusu fadhila za wenye kupigana katika njia yake nakuwa Mwenyezi Mungu kawaandalia peponi daraja mia moja, masafa kati ya daraja mbili ni kama yaliyo baina ya mbingu na ardhi.

Source
Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Download image

Saved at original quality