Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Fiq'hi na misingi yake.

Kutoka kwa Shuraihi bin Hanii amesema:

Available in 53 languages
«Kutoka kwa Shuraihi bin Hanii amesema: Nilimuuliza Aisha, nikasema: Ni kwa jambo gani alikuwa akianza nalo Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoingia nyumbani kwake? Akasema: Kwa mswaki.»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Ilikuwa katika muongozo wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuanza na mswaki anapoingia nyumbani kwake wakati wowote, usiku au mchana.

Source
Imepokelewa Imamu Muslim
Download image

Saved at original quality