Fiq'hi na misingi yake.
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Masoud -Radhi za Allah ziwe juu yake- kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema:
Available in 66 languages
«Imepokelewa kutoka kwa Abuu Masoud -Radhi za Allah ziwe juu yake- kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka".»Meaning translation ·
Saved at original quality








