SW
Maswahaba .
Kuitakidi - Kuamini- kuhusu maswahaba.Radhi za Allah ziwe juu yao.
1 hadiths
Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao.
6
Kuitakidi - Kuamini- kuhusu maswahaba.Radhi za Allah ziwe juu yao.
1
1 hadiths
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Saidi Al-Khuduriy -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-: "Msiwatukane Maswahaba wangu, kwa sababu, lau kama yeyote kati yenu atatoa dhahabu sawa na (mlima) Uhud (katika njia ya Mwenyezi Mungu), basi haiwezi kuwa sawa na theluthi mbili ya kilo ya mmoja wao wala nusu yake."
Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake