SW
Historia(Sira) ya Bwana Mtume.
Kuhama.
1 hadiths
Wake zake Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake na hali ya Nyumba ya Mtume.
4
مبعثه صلى الله عليه وسلم
1
Kuhama.
1
Vita alivyoshriki na Ambavyo hajashiriki Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake:
4
Maandiko yake na Tungo zake Mtume rehema zamwenyezi munguzie juu yake amani:
1
Mambo ya Mtume.
24
1 hadiths
Kutoka kwa Abubakari Swiddiq radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Niliitazama miguu ya washirikina juu ya vichwa vyetu, na sisi tukiwa pangoni, nikasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, lau kama mmoja wao angelitazama katika nyayo zake angetuona chini ya nyayo zake, akasema: "Ewe Abubakari, kwani ipi dhana yako kwa wawili ambao Mwenyezi Mungu ndiye wa tatu wao".
Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake