SW
Hijja na Umra.
Masiku kumi ya Dhul hijjah.
1 hadiths
وجوب الحج والعمرة وحكم تاركهما
1
Fadhila za Hijjah na Umra.
5
Masiku kumi ya Dhul hijjah.
1
Hukumu za Msikiti wa Makkah na Msikiti wa Mtume msikiti wa Aq'swa
3
Yaliyo wajibu katika Umra.
1
Sifa za Hijjah.
1
Vichinjwa.
2
Hukumu na Mambo ya Hijjah na Umra.
3
1 hadiths
Imepokewa kutoka kwa Bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao na baba yake- amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku kumi (za mwanzo wa Dhul-Hija), Wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hata kupigana Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu? Akasema: "Hata kupigana Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu, isipokuwa mtu aliyetoka kwa nafsi yake na mali yake na hakurudi na chochote katika hivyo".
Imepokelewa na Bukhari na Abu Daud na matamshi ya hadithi ni yake