Fiq'hi na misingi yake.
Kutoka kwa Ukba bin Aamir Al-Juhani radhi za Allah ziwe juu yake amesema:
Available in 42 languages
«Kutoka kwa Ukba bin Aamir Al-Juhani radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nyakati tatu alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitukataza kuswali ndani yake, au kuzika ndani yake maiti wetu: wakati linapoanza kuchomoza jua mpaka linyanyuke, na wakati linapofika kati kati mpaka lipinde, na wakati linapoanza kuzama mpaka lizame.»Meaning translation ·
Saved at original quality








