Fiq'hi na misingi yake.
Kutoka kwa Jaabir bin Abdillaah -radhi za Allah ziwe juu yao amesema:
Available in 36 languages
«Kutoka kwa Jaabir bin Abdillaah -radhi za Allah ziwe juu yao amesema: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika safari, akaona msongamano na mtu kazingirwa, akasema: "Nini hicho?", wakasema: Alikuwa kafunga swaumu, akasema: "Si katika wema kufunga safarini", na katika tamko la Muslim: "Chukuweni ruhusa ya Mwenyezi Mungu aliyokuruhusuni".»Meaning translation ·
Saved at original quality








