Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Akida- Itikadi-

Kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema:

Available in 49 languages
«Kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwanamke anayevaa vazi la mwanaume.»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Aliomba Mtume rehema na amani ziwe juu yake kufukuzwa na kuwekwa mbali na rehema za Mwenyezi Mungu kwa kila mwanaume atakayejifananisha na mwanamke katika mavazi maalumu kwa ajili ya wanawake; sawa sawa iwe katika muonekano au rangi au jinsi au namna ya uvaaji na kujipamba. Au kwa mwanamke kujifananisha na mavazi maalumu kwa wanaume vile vile, nalo ni dhambi katika madhambi makubwa.

Source
Imepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah kwa maana yake na Ahmad
Download image

Saved at original quality