SW
Sifa za kitabia.
Upole wake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
1 hadiths
Ukarimu wake Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake:
2
Haya zake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
1
Safari zake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
1
رفقه صلى الله عليه وسلم
3
Huruma zake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
2
Maneno yake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
2
Kucheka kwake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
1
بكاؤه صلى الله عليه وسلم
1
Upole wake Mtume Rehma na za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amani:
1
1 hadiths
Imepokelewa kutoka kwa Aisha mama wa waumini -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Hakuwahi kupewa hiyari Mtume rehema na amani ziwe juu yake baina ya mambo mawili hata siku moja isipokuwa atachukua jepesi lake, madamu si dhambi, ikiwa itakuwa ni dhambi, basi hujiwekanalo mbali kuliko watu wote, na hakuwahi kulipiza kisasi Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- katika kitu ambacho kina masilahi yake binafsi katu, isipokuwa kama zitavunjwa sheria za Mwenyezi Mungu, hapo hulipiza kisasi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake