Hadith for the World
Tap the image to view it full size
Fiq'hi na misingi yake.

Kutoka kwa Buraida -Radhi za Allah ziwe juu yake- yakuwa amesema:

Available in 65 languages
«Kutoka kwa Buraida -Radhi za Allah ziwe juu yake- yakuwa amesema: Iswalini mapema swala ya Lasiri, kwani Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake".»

Meaning translation ·

Explanation

The meaning in a few plain lines

Ametahadharisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuchelewesha swala ya Lasiri nje ya wakati wake kwa makusudi, nakuwa mwenye kufanya hivyo yatakuwa yamebatilika matendo yake na yameharibika matendo yake na yameenda patupu.

Source
Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Download image

Saved at original quality